Bethel Radio

Kwanini Umezaliwa – Mch.Emmanuel Mgaya(Masanja)

Mchungaji Emmanuel Mgaya (Masanja) akihubiri katika Mkesha uliofahamika kama(Usiku wa Burudiko) Ulioandaliwa na Kanisa la Living Water Ministry(Makuti Kawe), nakufanyika Tarehe 24/12/2017 Katka Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe Jijini Dar es Salaam Tanzania, nakuudhuliwa na Maelfu ya watu kutoka Maeneo mbalimbali ya Ndani na Nje ya Jiji.

Na uwe wa kwanza kupata habari