Bethel Radio

Pigana Mpaka Mwisho – Pastor Grace Kapswara

Ibada ya Jumapili ya tarehe 30/07/2017 iliyofanyika katika kanisa la City Harvest lililopo Bahari Beach – Dar es salaam.

Muhubiri: Mchungaji Grace Kapswara
Kutoka: Harare – Zimbabwe
Mwenyeji: Mchungaji  Yared Dondo

Na uwe wa kwanza kupata habari