Bethel Radio

Uaminifu wako ni mkuu (Prayer Time ) – Pastor Bomby

Maombi yaliyoongozwa na Mchungaji Bomby Johnson wa kanisa la Glory House, katika mkesha uliopewa jina la Uaminifu wako ni mkuu uliofanyika katika kanisa la KKKT – Mbezi Beach.
Mkesha uliandaliwa na mpiga saxophone maarufu Mise Mushi na ulikusanya maelfu ya watu kutoka maeneo tofauti ya Jiji la Dar es Salaam.

Na uwe wa kwanza kupata habari