Bethel Radio

Semina ya Neno la Mungu – KKKT Mbezi Beach

Usharika kwa Mbezi Beach KKKT Unakuletea Semina na Neno la Mungu

Yenye Kichwa “KUTEMBEA KATIKA UWEZA WA MUNGU” – Waefeso 6:10, Semina hii itaongozwa na Mchungaji Kiongozi Mwl. Allen Adam Mbiso.

Semina hii itaanza Jumapili ya Tarehe 2|06|2019 hadi Tarehe 8|06|2019 Kuanzia Saa 11:30 Jioni

Usiache kusikiliza na Kufuatilia Matangazo haya kupitia Hapa Bethel Radio!

 

And get our exclusive programs